Njia Kumi (10) Za Kupata Mpenyo Ambao Utaiwezesha Biashara Yako Kukua Na Kufikia Mafanikio Makubwa.

AMKA MTANZANIA

Rafiki yangu mpendwa, je unajua kwamba kila mtu yupo kwenye biashara na ili ufanikiwe kwenye chochote unachouza kuna njia kumi za kupata mpenyo ambao utakuwezesha kupiga hatua sana? Karibu usome makala ya leo, uondoke na mambo ya kwenda kufanyia kazi.

Zama tunazoishi sasa ni zama ambazo ajira rasmi zinapotea kabisa. Nafasi za kazi zimekuwa chache na siyo za uhakika kama kipindi cha nyuma. Hili linawasukuma watu wengi kuingia kwenye biashara zao wenyewe. Pamoja na watu wengi kuingia kwenye biashara, wengi pia wamekuwa wanashindwa kwa sababu hawana maarifa sahihi ya kufanikiwa kwenye biashara.

Hata wale ambao wanapata nafasi za kuajiriwa, bado changamoto kwenye ajira ni kubwa, huku vipato vikiwa vidogo na visivyotosheleza. Lakini wapo wachache ambao wameweza kutengeneza vipato vikubwa kwenye kazi walizoajiriwa, kwa kujua njia sahihi ya kupata mpenyo unaowawezesha kutoa thamani zaidi na hivyo kulipwa zaidi.

breakthrough1

Kwenye makala ya leo, tunakwenda kujifunza njia kumi za kupata mpenyo ambao utaiwezesha…

View original post 1,432 more words

Published by jicholaujasiriamali

Public figure..

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Create your website with WordPress.com
Get started
%d bloggers like this: