Zingatia Maeneo Haya Matatu Na Utaweza Kushawishi Na Kuuza Zaidi.

AMKA MTANZANIA

Rafiki yangu mpendwa,

Kuna vitu vitatu ambavyo nimekuwa nasisitiza kila anayetaka kufanikiwa sana ajifunze na kubobea. Haijalishi unafanya kazi au biashara ya aina gani, ukijifunza na kubobea vitu hivi vitatu, lazima utafanikiwa sana.

Vitu hivyo vitatu ni KUUZA, KUONGEA NA KUANDIKA.

Kila mtu sasa ni muuzaji, kila mmoja wetu kuna kitu ambacho anauza kwa wengine. Inaweza kuwa bidhaa au huduma au hata ushawishi fulani unaotaka kuwa nao kwa wengine, yote hiyo ni kuuza.

Zipo njia mbili kuu za kuwashawishi watu ili wanunue unachouza, maneno na maandishi. Hivyo unapojifunza jinsi ya kuongea vizuri na kwa ushawishi na unapojifunza jinsi ya kuandika kwa ufasaha na ushawishi, kazi yako ya mauzo inakuwa rahisi sana.

Leo tunakwenda kujifunza maeneo matatu ya kuzingatia ili kuweza kuwa na ushawishi na kuuza sana.

new abc of selling

Japokuwa kila mmoja wetu yupo kwenye mauzo, watu wamekuwa hawakai chini na kujifunza njia bora za kuuza kile wanachouza. Badala yake wamekuwa wanafanya kwa…

View original post 1,431 more words

Published by jicholaujasiriamali

Public figure..

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Create your website with WordPress.com
Get started
%d bloggers like this: